Master English to Swahili Phrases with Our Phrasebook

EnglishSwahili

What is your name?

Jina lako nani?


My name is...

jina langu ni


How are you?

Habari Gani?


I'm fine

Muzuri (in response to how are you?)


I'm not fine

siko sawa


How old are you?

Una miaka mingapi?


Where do you live or stay?

Unaishi wapi?


I live in...

ninaishi


Good Bye/I have to go

Kwaheri / tuonane tena / baibai


See you tomorrow

Tuonane kesho


Congratulations

Hongera sana


What’s your phone number?

Nambari yako ya simu ni ipi?


Good night!

Usiku mwema


Where are you from?

Unatoka wapi?


I am from____

Ninatoka ________


Where are you going?

Unaenda wapi


Where can I find _____?

Ninaweza kupata wapi _____


Does this go to___?

Je, hii inaenda kwa ___?


I would like to go to _____

Ningependa kwenda kwa _____


How far is it to _____?

Je, ni umbali gani hadi _____?


Where is the ___?

[Police]___ iko wapi?


Go straight ahead.

Nenda mbele


Turn back./Go back.

Geuka nyuma


Turn left

Pinduka kushoto


Turn right

Geuka kulia


It is opposite___

Ni kinyume ___


It's quite a long way

Ni njia ndefu sana


It's quite close

Iko karibu kabisa


It is this way

Ni kwa njia hii


It is that way

Ni kwa njia hiyo


Sorry, I don't know

Samahani, sijui


Sorry, I am not from here

Samahani, sitoki hapa


I am lost

nimepotea


Where's the police?

Polisi wako wapi?


Where's the hospital?

Hospitali iko wapi?


Over there

Pale


Excuse me [calling for attention]

Samahani


Come and eat

Njoo ule


Go and shower

Nenda ukaoge


Thanks for cooking

Asante kwa kupikia


Go to bed

Nenda kitandani


Get dressed

Vaa nguo


Lock the door

Funga mlango


Stop it

Acha


Brush your teeth!

Piga mswaki


Get out of bed

Ondoka kitandani


Are you hurt?

Umeumia?


Wash the dishes

Osha vyombo


Don’t do that

Usifanye hivyo


Well done

Umefanya vizuri


Switch on the lights

Hebu washa taa


Lunch is ready

Chakula cha mchana kiko tayari


I don't feel well

sijisikii vizuri


I am hungry

nina njaa


I'm satisfied(full)

Nimeridhika


I want some water

ninakiu (I am thirsty)


I'll beat you

Nitakupiga


Sit down

Kaa chini


Wake up

Amka


Go away

Nenda mbali


This tastes nice(It's delicious)

Ni kitamu


Hurry up

Fanya haraka


I'm tired

Nimechoka


Leave it [warning to someone especially kids]

Achana nayo


Leave me alone[when you don't want to be disturbed]

Niache peke yangu


Stand up

Simama


How was school?

Shule ilikuwaje?


Make your bed

Tandika kitanda chako


Come here

Njoo hapa


Is there...[honey]?

Je, kuna ___


Put on your....[Shoes]

Vaa viatu vyako


Take it back

Irudishe


Bring it back

Irudishe


Eat your food

Kula chakula chako


Wash your hands

Nawa mikono yako


Open the door

Fungua mlango


Come in

Ingia ndani


Remove your....[Shoes]

Ondoa yako....[Viatu]


Put it down

Weka chini


Put it up

Weka juu


Pick it up

Ichukue


Go to the toilet

Nenda kwenye choo


Go to your bedroom

Nenda kwenye chumba chako cha kulala


Go to sleep

Nenda kalale


Go there

Nenda pale


Take it back

Irudishe


Clean your room

Safisha chumba chako


Get in the car

Ingia kwenye gari


The food is delicious

Chakula ni kitamu


Hello

Hujambo


Thank you

Asante


How is it going?

Mambo vipi?


My name is____

Jina langu ni_____


No, thank you

Hapana asante


Nice to meet you

Nafurahi kukuona


See you later

Tutaonana


Yes

Ndiyo


No

Hapana


I'm learning English

Ninajifunza Kiingereza


Could you repeat that please (Say that again)

Je, unaweza kurudia hilo tafadhali?


Could you please talk slower?

Tafadhali unaweza kuzungumza polepole?


What does that mean?

Unasemaje hiyo inamaanisha nini? kwa kiswahili


How do you say _____ in ______

Unasemaje hii kwa _____


Sorry, I don't speak_____

sisemi ____[kiswahili]


What time are we meeting?

Tunakutana saa ngapi?


I don't have money

Sina pesa


Well done/good job

Umefanya vizuri


How is work?

Kazi ikoje?


How much does this cost

Ngapi / Hii inagharimu kiasi gani


I will pay you ___

Nitakulipa ___


I don't have money(bargaining)

Sina pesa


That's too expensive(bargaining)

Hiyo ni ghali sana


Reduce for me(bargaining)

Punguza kwa ajili yangu


It costs only _______

Inagharimu___


I am out of work

Sina kazi


I have to work

Lazima nifanye kazi


How is business going

Biashara inaendeleaje


What do you do?(as in earning a living)

Unafanya kazi gani


Do you have___?

Je, una___?


Do you have anything cheaper?

Je! una kitu cha bei nafuu?


What is the best___(such as hotel, restaurant etc)?

Ni nini bora ___


What is fun to do around here?

Je, ni jambo gani la kufurahisha kufanya hapa?


What do you recommend? (inquiring about food, hotel etc)

Je, unapendekeza nini?


Menu, please

Menyu, tafadhali


What food do you have?

Una chakula gani?


Where's the toilet or restroom?

Choo kiko wapi?


It was delicious

Ilikuwa ladha


Foreigner [In reference to whites]

mzungu


At the bus/taxi stop

kituo cha basi


Just ahead there

Mbele tu huko


Have a safe journey/trip

Fika Salama


How much is the fare?

Nauli ni kiasi gani?


May I take a picture?

Je! naweza kupiga picha?


Can you take us a picture?

Unaweza kutupiga picha?


Where's the bank?

Benki iko wapi?


Is there a bus going to___?

Je, kuna basi linaloenda_?


How much is it per night?

Ni kiasi gani kwa usiku?


How was your night?

Habari za usiku?


Do you have any free rooms?

Je, una vyumba vyovyote vya bure?


Go faster

Nenda kwa kasi zaidi


Stop there

Acha hapo


Don't go there

Usiende huko


I am going to....[the market]

Naenda___[Sokoni]


I miss you

Ninakukosa rohoni


Are you single?

Je wewe hujaolewa?


Are you married?

Je, umeolewa?


You're beautiful

Wewe ni mrembo


God bless you

Mungu akubariki


Please

Tafadhali


I am sorry (forgive me)

Samahani / Ninasikitika


I don't know...

Sijui___


Do you understand me?

Umenielewa?


I don't understand...

sielewi...


Do you speak English?

Unaongea kiingereza?


I need some help

nisaidie / Nahitaji msaada


Which way to…?

Njia ya nini…?


What time is it?

Ni saa ngapi?


How much is this?

Hii ni bei gani?


Where are you from?

Unatoka wapi?


What do you think?

Je wewe unafikiriaje? / Unafikiri nini ?


What do you do?

Unafanya nini?


How can I help you?

Nikusaidie vipi?


That's very good/Excellent

Hiyo ni nzuri sana


I don't think so(disagreeing)

Sijui / Sidhani hivyo


What is this?

Hii ni nini? [Hii ni kitu Gani ]


I need a doctor

Nataka daktari


Help!

Nisaidie


You scared me

Umenitisha


I love you.

Nakupenda


Stop crying

Acha kulia


Keep quiet / Shut up

Kaa kimya


I am thirsty (I want water)

Ninakiu / Nataka maji


I am hungry

Nina njaa


Let me pass

Acha nipite


What do you want?

Unataka nini?


You're welcome

Karibu


Hi/Hey

Habari


Grandma

Bibi


Friend

Rafiki


Mother

Mama


Father

Papa


Peace be with you

Amani iwe kwenu


Are you happy?

Una furaha?


Family

Familia


God is good

Mungu ni mwema


Freedom

Uhuru


Good evening

Habari za jioni


I am going home

Ninaenda nyumbani


Grand father

Babu


God be with you

Mungu awe nawe


What are you saying?

Unasema nini?


You're handsome

Wewe ni mzuri


Money

Pesa


Good afternoon

Habari za mchana


Good morning

Habari za asubuhi


Would you like to dance with me?

Je, ungependa kucheza nami?


Get well soon

Pona haraka


Call the police!

Piga polisi


Merry Christmas

Krismasi Njema


Happy birthday

Furaha ya kuzaliwa


Have a nice stay

Kuwa na kukaa nzuri


I wish you a good weekend

Kuwa na kukaa nzuri


Greetings to those at home

Salamu kwa walio nyumbani


Be careful!

Kuwa mwangalifu


That is all

Basi


Is that so?

Kumbe!


I do not want [this thing]

Sitaka [kitu hiki]


When does it open?

Hufunguliwa lini?


When does it close?

Hufungwa lini?


I am looking for ____

Nawatafuta [David]


Can you take me there?

Unaweza kunipeleka huko ?


Is it near?

Iko karibu?


Is it far?

Iko mbali?


Bad! [ Badly done!]

Vibaya


I know

Najua


What is that?

Kile ni kintu gani?


Who is that?

Yule ni nani?


Who is this?

Huyu ni nani?


How many?

Ngapi?


Wait a moment

Ngoja kidogo


Can you tell me?

Unaweza kuniambia


Can you show me?

Unaweza kunionyesha


I am in a hurry

Nina njaa


I am not in a hurry

Sina njaa


I am sick

Ninaumwa


How is the family?

Jamaa zako hawajambo


How are the people at home?

Watu nyumbani hawajambo?


They are well

Wao wazima