Learn Essential Basics Phrases in Swahili Language

EnglishSwahili

Yes

Ndiyo


No

Hapana


Please

Tafadhali


I am sorry (forgive me)

Samahani / Ninasikitika


I don't know...

Sijui___


Do you understand me?

Umenielewa?


I don't understand...

sielewi...


Do you speak English?

Unaongea kiingereza?


I need some help

nisaidie / Nahitaji msaada


Which way to…?

Njia ya nini…?


What time is it?

Ni saa ngapi?


How much is this?

Hii ni bei gani?


Where are you from?

Unatoka wapi?


What do you think?

Je wewe unafikiriaje? / Unafikiri nini ?


What do you do?

Unafanya nini?


How can I help you?

Nikusaidie vipi?


That's very good/Excellent

Hiyo ni nzuri sana


I don't think so(disagreeing)

Sijui / Sidhani hivyo


What is this?

Hii ni nini? [Hii ni kitu Gani ]


I need a doctor

Nataka daktari


Help!

Nisaidie


God bless you

Mungu akubariki


You scared me

Umenitisha


I love you.

Nakupenda


Stop crying

Acha kulia


Keep quiet / Shut up

Kaa kimya


I am hungry

Nina njaa


I am thirsty (I want water)

Ninakiu / Nataka maji


Let me pass

Acha nipite


What do you want?

Unataka nini?


Are you happy?

Una furaha?


God is good

Mungu ni mwema


That is all

Basi


Is that so?

Kumbe!


I do not want [this thing]

Sitaka [kitu hiki]


Bad! [ Badly done!]

Vibaya


I know

Najua


What is that?

Kile ni kintu gani?


Who is that?

Yule ni nani?


Who is this?

Huyu ni nani?


How many?

Ngapi?


Can you tell me?

Unaweza kuniambia


Can you show me?

Unaweza kunionyesha