Learn Essential Greetings Phrases in Swahili Language

EnglishSwahili

What is your name?

Jina lako nani?


My name is...

jina langu ni


How are you?

Habari Gani?


I'm fine

Muzuri (in response to how are you?)


I'm not fine

siko sawa


How old are you?

Una miaka mingapi?


Where do you live or stay?

Unaishi wapi?


I live in...

ninaishi


Good Bye/I have to go

Kwaheri / tuonane tena / baibai


See you tomorrow

Tuonane kesho


Congratulations

Hongera sana


What’s your phone number?

Nambari yako ya simu ni ipi?


Good night!

Usiku mwema


Where are you from?

Unatoka wapi?


I am from____

Ninatoka ________


My name is____

Jina langu ni_____


No, thank you

Hapana asante


Nice to meet you

Nafurahi kukuona


See you later

Tutaonana


How was your night?

Habari za usiku?


Hi/Hey

Habari


You're welcome

Karibu


Peace be with you

Amani iwe kwenu


Good evening

Habari za jioni


God be with you

Mungu awe nawe


Good afternoon

Habari za mchana


Good morning

Habari za asubuhi


Would you like to dance with me?

Je, ungependa kucheza nami?


Merry Christmas

Krismasi Njema


Happy birthday

Furaha ya kuzaliwa


I wish you a good weekend

Kuwa na kukaa nzuri


Greetings to those at home

Salamu kwa walio nyumbani


How is the family?

Jamaa zako hawajambo


How are the people at home?

Watu nyumbani hawajambo?


They are well

Wao wazima