Come and eat
Njoo ule
Go and shower
Nenda ukaoge
Thanks for cooking
Asante kwa kupikia
Go to bed
Nenda kitandani
Get dressed
Vaa nguo
Lock the door
Funga mlango
Stop it
Acha
Brush your teeth!
Piga mswaki
Get out of bed
Ondoka kitandani
Are you hurt?
Umeumia?
Wash the dishes
Osha vyombo
Don’t do that
Usifanye hivyo
Well done
Umefanya vizuri
Switch on the lights
Hebu washa taa
Lunch is ready
Chakula cha mchana kiko tayari
I don't feel well
sijisikii vizuri
I am hungry
nina njaa
I'm satisfied(full)
Nimeridhika
I want some water
ninakiu (I am thirsty)
I'll beat you
Nitakupiga
Sit down
Kaa chini
Wake up
Amka
Go away
Nenda mbali
This tastes nice(It's delicious)
Ni kitamu
Hurry up
Fanya haraka
I'm tired
Nimechoka
Leave it [warning to someone especially kids]
Achana nayo
Leave me alone[when you don't want to be disturbed]
Niache peke yangu
Stand up
Simama
How was school?
Shule ilikuwaje?
Make your bed
Tandika kitanda chako
Come here
Njoo hapa
Is there...[honey]?
Je, kuna ___
Put on your....[Shoes]
Vaa viatu vyako
Remove your....[Shoes]
Ondoa yako....[Viatu]
Take it back
Irudishe
Bring it back
Eat your food
Kula chakula chako
Wash your hands
Nawa mikono yako
Open the door
Fungua mlango
Come in
Ingia ndani
Put it down
Weka chini
Put it up
Weka juu
Pick it up
Ichukue
Go to the toilet
Nenda kwenye choo
Go to your bedroom
Nenda kwenye chumba chako cha kulala
Go there
Nenda pale
Clean your room
Safisha chumba chako
Get in the car
Ingia kwenye gari
Go to sleep
Nenda kalale
The food is delicious
Chakula ni kitamu
I am going home
Ninaenda nyumbani
Get well soon
Pona haraka
Be careful!
Kuwa mwangalifu
I am sick
Ninaumwa