Learn Essential Language Phrases in Swahili Language

EnglishSwahili

I'm learning English

Ninajifunza Kiingereza


Could you repeat that please (Say that again)

Je, unaweza kurudia hilo tafadhali?


Could you please talk slower?

Tafadhali unaweza kuzungumza polepole?


What does that mean?

Unasemaje hiyo inamaanisha nini? kwa kiswahili


How do you say _____ in ______

Unasemaje hii kwa _____


Sorry, I don't speak_____

sisemi ____[kiswahili]


What are you saying?

Unasema nini?